Mhadhiri anayefaulisha kwa ngono ahukumiwa Picha Mhadhiri wa Chuo Kikuu kimoja nchini Morocco aliyekuwa anatuhumiwa kufaulisha wanafunzi wa kike kwa kufanya nao ngono amehukumiwa kifungo cha jela miaka miwili. Read more about Mhadhiri anayefaulisha kwa ngono ahukumiwa