Tanzanite Vs Ethiopia, kufuzu kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 Tanzanite itacheza dhidi ya timu ya taifa ya Ethiopia kwenye michezo ya raundi ya tatu ya kuwania kufuzu kombe la Dunia kwa wachezaji wa umri huo.