Azplicueta: Tunapaswa Kujitathmini Upya
Nahodha wa Chelsea Cesar Azpilicueta amekuwa mkali kwa wachezaji wenzake haswa wanaounda safu ya ulinzi ndani ya klabu hiyo na kuwataka kujitathmini upya kutokana na mwenendo wa kuruhusu magoli mengi katika michezo ya hivi karibuni.