Mama aua watoto na sumu kuepuka ugumu wa maisha

Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Henry Mwaibambe

Watoto wawili wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mwabagaru Kata ya Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita, wamefariki dunia na watatu kunusurika kifo baada ya kunyeshwa sumu ya kuulia wadudu na mama yao mzazi ambaye na yeye alikunywa sumu hiyo kisa ugumu wa maisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS