Marufuku shindano lolote la Tennis nchini China
Chama cha mchezo wa tennis duniani upande wa wanawake wamezuia mashindano yote yaliyopaswa kufanyika nchini China mpaka sakata la unyanyasaji wa kijinsia la nyota kutoka nchini humo Peng Shuai kupatiwa ufumbuzi.