CP3 na Embiid wachezaji Bora NBA

(Joel Embiid wa Philadelphia na Chris Paul wa Phoenix Suns kwenye NBA.)

Chris Paul wa Phoenix Suns na Joel Embiid wa Philadelphia 76ers wamechaguliwa kuwa wachezaji bora wa Ligi ya kikapu nchini Marekani NBA kwa wiki ya 15 iliyoanza Januari 25, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS