Kauli ya Popat wa Azam kuhusu Simba na Yanga

Mtendaji Mkuu wa Azam Fc Abdulkarim Amin (kushoto) akiwa na Kocha wa kikosi hicho Abdi Hamid Moallin katika picha ya pamoja

Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam Fc, Abdulkari Amin ''Popat'' ameweka wazi kuwa changamoto kubwa inayowakumba katika utekelezaji wa malengo yao ni ubora wa vilabu vya Simba na Yanga katika nyakati tofauti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS