Mgombea adai kuongeza posho za wabunge
Mgombea wa kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka chama cha SAU Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza kiti hicho atahakikisha anapunguza vikao na kuongeza posho za wabunge.

