DC Shinyanga amcharukia Mkandarasi SGR
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko ametoa maagizo kwa wasimamizi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Mwanza hadi Isaka eneo la Didia Halmashauri ya Shinyanga kushughulikia changamoto ya wafanyakazi kutopewa mikataba.

