Chelsea mabingwa wa Dunia

Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ubingwa

Klabu ya Chelsea ya England imeibuka mabingwa wa klabu bingwa ya Dunia (FIFAClubWorldCup) kwa mara ya kwanza baada ya kuifunga klabu ya Palmeiras ya Brazil magoli 2-1 kwenye fainali iliyopigwa kwa dakika 120.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS