Formula 1 wasaini mkataba na Bahrain mpaka 2036

Kwa mara ya kwanza Bahrain waliandaa mbio za F1 mwaka 2004

Rais na mtendaji mkuu wa mchezo wa mbio za magari ya Langa langa (Formula 1) Stefano Domenicali amethibitisha kuwa wamesaini mkataba na taifa la Bahrain mpaka mwaka 2036 ambapo taifa hilo litakuwa sehemu ya mataifa yatakayo andaa mbio hizo kwa miaka 14.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS