Mtandao wa Selcom ulivyochezewa na Bil. 2 kuibiwa

Sehemu ya fedha zilizookolewa na Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa

Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 10 waliojipatia fedha za udanganyifu zaidi ya shilingi bilioni 2 baada ya kuchezea mfumo wa kampuni ya Selcom Paytech Limited, huku sehemu ya fedha hizo zikiokolewa kwani walizifukia kwenye mashamba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS