Ukame wasababisha mifugo 1,257 kufa Kilimanjaro Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Stephen Kagaigai Kufuatia hali ya ukame na ukosefu wa malisho unaoukabili mkoa wa Kilimanjaro umepelekea jumla ya ng'ombe 841, kondoo 406 na punda 10 kufa. Read more about Ukame wasababisha mifugo 1,257 kufa Kilimanjaro