Nape akabidhi leseni za magazeti yaliyofungiwa Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ametoa leseni za kuanza kuchapishwa tena magazeti ya MwanaHALISI, Mawio, Mseto na Tanzania Daima. Read more about Nape akabidhi leseni za magazeti yaliyofungiwa