Arsenal yafikia makubaliano kumsajili Ben White
Washika mitutu wa jiji la London, klabu ya Arsenal imefikia makubaliano kumsajili mlinzi wa kati, Ben White wa klabu ya Brighton & Hove Albion kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni hamsini za England ambazo ni sawa na bilioni mia hamsini na tisa na zaidi ya milioni mia sita za kitanzania.