"Kazi ya serikali sio kulisha Watu"- Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS