Alichokisema Lady Jaydee kuhusu muziki wa sasa
Mwanamuziki mkongwe na Malkia wa muziki hapa nchini Tanzania, Lady Jaydee, ama Komando Jide, amesema kuwa muziki wa sasa haudumu na unawahi kupotea kwenye masikio ya watu kwa sababu upo kama 'bubble gum' hivyo utamu ukiisha lazima uiteme.