Wasafiri kutoka TZ marufuku kuingia Uingereza

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi wa Uingereza, Grant Shapps

Uingereza imepiga marufuku wasafiri wote kutoka Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kuingia nchini humo ikiwa ni hatua za kuzuia kuenea kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, kutokana na aina mpya ya kirusi kilichogunduliwa nchini Afrika Kusini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS