''United itatwaa ubingwa EPL''Wayne Rooney Bruno Fernandes(Kushoto) na Edinson Cavani (Kulia) wakishangilia kwa pamoja baada ya kufunga bao. Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amesema anategemea mashetani wekundu watatwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu. Read more about ''United itatwaa ubingwa EPL''Wayne Rooney