Kocha mpya Simba ni utata, Ibenge, Micho watajwa
Klabu ya Simba SC itakuwa na mkutana na waandishi wa habari leo Ijumaa Januari 22, 2020. mkutano huu unaangaziwa na wadau wengi huenda klabu hiyo ikamtangaza kocha mpya atakae kinoa kikosi hicho, baada ya mabingwa hao wa Tanzania bara kuachana na Kocka Sven Vandenbroeck.