Idrissa Nassor achaguliwa kuwa Mwenyekiti Azam FC

Idrissa Nassor mwenyekiti mpya wa klabu ya Azam.

Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya klabu ya Azam imemteua Nassor Idrissa Mohamed almaarufu ‘Father’ kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo kuanzia leo tarehe 19 Januari 2021 kuchukua nafasi ya Shani Christoms ambaye ni Mkurugenzi wa Sheria na Utawala kwasasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS