Simba itaangukia kundi la kifo au mchekea?

Klabu ya Simba itajua hatma ya kundi lake hii leo, kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika

Hatma ya wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika Simba SC kujulikana hii leo, kwa kujua watakutana na timu zipi kwenye hatua ya makundi ya michuano hiyo, ambapo droo ya upangaji makundi itafanyika hii leo mjini Cairo nchini Misri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS