RC Kunenge wa Dar es salaam atembelea IPP Media

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Aboubakar Kunenge (kushoto) alipotembelea ofisi za East Africa Television na East Africa Radio na kupokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Regina Mengi (kulia).

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Aboubakar Mussa Kunenge, ameainisha mikakati inayofanyika na inayotarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam, kwaajili ya kuwainua kina mama na kutengeneza fursa zaidi katika mkoa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS