Jose Mourinho asaka fainali ya kwanza na Spurs
Kocha wa Tottenham Hotspurs Jose Mourinho usiku wa leo Januari 5, anatazamiwa kuiongoza klabu yake kucheza mchezo wa nusu fainali ya kombe la Carabao dhidi ya klabu ya Brentford kutoka Championship mchezo utakaochezwa saa 4:45 Usiku leo kwenye dimba la Wembley nchini England.