Yanga SC yabanwa, Azam FC yafunga mwaka kwa raha

Wachezaji wa Yanga SC wakishangilia goli

Klabu ya soka ya Yanga SC imemaliza mwaka 2020 ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu soka Tanzania, ikiwa na pointi 44, baada ya kutoka sare ya 1-1 na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa raundi ya 18.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS