Messi anena mazito, ataja hatma yake Barcelona

Lionel Messi

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Lionel Messi,  amesema kwa sasa klabu yake inapitia magumu sana ndani na nje ya uwanja, hivyo hatarajii wakali hao wakatalunya kurudisha makali yao kwa miaka ya hivi karibuni na kuondoa uwezekano wa klabu hiyo kumsajili Neymar Junior kutoka PSG.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS