Rais Magufuli alivyoshughulikia suala la Sugu
Rais Dkt. Magufuli kupitia kwa RC Mbeya, Albert Chalamila, amekanusha uvumi wa taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni kwamba, serikali imepanga kuibomoa Hoteli ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi ambayo ilidaiwa kuwa imejengwa kwenye chanzo cha maji.