Simba SC yachezea kichapo ugenini Zimbabwe Wachezaji wa Simba na FC Platinum Mechi ya raundi ya kwanza, mkondo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika imemalizika kwa Simba SC kupoteza kwa 1-0 dhidi ya FC Platinum. Read more about Simba SC yachezea kichapo ugenini Zimbabwe