Duma Actor awapa sharti Alikiba na Harmonize
Ni 'headlines' za msanii wa filamu Duma Actor ambaye ameingia rasmi kwenye muziki baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza ambapo amesema kama lebo ya Kings Music ya Alikiba au Konde Gang ya Harmonize wanataka kumsaini kwenye lebo zao basi waandae mzigo wa kutosha.