Ijue sababu ya RC kushtukiza Tandale Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, amefanya ziara ya kustukiza usiku wa manane kwenye ujenzi wa soko la Tandale kwa lengo la kujionea kama maagizo aliyotoa yametekelezwa. Read more about Ijue sababu ya RC kushtukiza Tandale