Kiwanja cha CCM kilichoporwa charejeshwa
TAKUKURU mkoani Manyara, imefanikiwa kurejesha kiwanja ambacho ni mali ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambacho kiliporwa na kuuzwa na Mwenyekiti wa CCM Kata, huku pia ikifanikiwa kurejesha zaidi ya Mil. 6 za mstaafu ambaye alitapeliwa.