Uchebe amkumbuka Shilole Picha ya Shilole na Uchebe enzi walipokuwa kama mke na mume Mfanyabiashara wa magari Uchebe amemkumbuka mke wake wa zamani Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwa kumwambia anamtakia maisha mema. Read more about Uchebe amkumbuka Shilole