Cedric Kaze ataja sababu za Shikhalo kukaa benchi
Mkuu wa benchi la Ufundi kwenye kikosi cha Yanga Cedric Kaze ametoa sababu kujibia ni kwanini mlinda mlango Mkenya Farouk Shikhalo amekuwa akisugua benchi na kuwa chagua la kwanza mbele ya Metacha Mnata.