Alichokisema Rais Magufuli kuhusu ajira milioni 8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amesema kuwa mgodi wa madini ya Nickel uliopo Kabanga mkoani Kagera, ukianza basi utasaidia suala la upatikanaji wa ajira za watu milioni 8 ambazo ziliahidiwa.