Rais wa CAF, Ahmad Ahmad akihutubia moja ya mkutano wao
Rais wa shirikisho la soka Africa Ahmad Ahmad ametangaza kuwa ana maambukizo ya Corona, ikiwa ni siku 3 tangu rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianin Infantino kutangaza kuwa na maambukizo ya ugonjwa huo.