Wakazi wa Kigogo Mkwajuni walia na daraja Daraja linalolalamikiwa na wananchi wa Kigogo, Mkwajuni Wananchi wa Kigogo Mkwajuni, wameiomba serikali kuwajengea daraja la kisasa zaidi kutokana na daraja lililopo sasa mvua inaponyesha maji hupita juu na kuingia kwenye nyumba zao. Read more about Wakazi wa Kigogo Mkwajuni walia na daraja