Yanga yaizima KMC ndani ya CCM Kirumba Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli la pili. Klabu ya soka ya Yanga, imeibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliopigwa jioni ya leo Oktoba 25, 2020 kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Read more about Yanga yaizima KMC ndani ya CCM Kirumba