RC Dar es Salaam afanya ziara ya kushtukiza

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge, amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bandari ya Dar es salaam, kwa lengo la kujua kile kinachosababisha makontena yenye vifaa vya ujenzi wa stendi ya kisasa ya Mbezi Louis kuchelewa kutoka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS