Kushoto ni Mkuu wa Vodacom kanda ya Dar es salaam na Pwani, Brigita Stephen akiwa na mfanyakazi mwenzake wakati wa uzinduzi wa duka.
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imezindua duka lake kubwa na la kisasa katika mtaa wa Msimbazi Kariakoo ambapo duka hilo litatoa huduma zilizo bora kama zinavyotolewa kwenye maduka nengine ya Vodacom.