Messi haondoki Barcelona Mkataba wa Messi Barcelona unamalizika Juni 2021 Nafasi ya FC Barcelona kumshawishi nahodha wake Lionel Messi kuendelea kusalia klabu hapo imezidi kuongezeka, baada ya Rais wa klabu hiyo Josep Maria Bartumeu kujiuzulu. Read more about Messi haondoki Barcelona