Mfungwa mkoani Mbeya agoma kurejea Uraiani
Mfungwa mmoja aliyejulikana kwa jina la Merald Abraham, amekataa kurejea Uraiani baada ya kuachiwa kwa msamaha uliotolewa na Rais Magufuli kwa madai ya kuwa hana pa kwenda na kutaka ahamishiwe katika Gereza la Ukonga, Jijini Dar es Salaam.