Timu ya ligi kuu yakwama barabarani, gari lawaka

Gari na baadhi ya wachezaji wa Baobab Queens

Timu ya Baobab Queens ya mkoani Pwani ambayo inashiriki ligi kuu ya soka ya wanawake Tanzania, imekwama katika Kijiji Cha mabeshi KM115 kabla ya kufika Tabora ikiwa inaelekea Kigoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS