Tuzo za Ballon d'Or kutolewa Sep 22 Paris

Tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ya Ballon D’Or

Jarida la France Football limetangaza Septemba 22, 2025 ndio tarehe itakayofanyika hafla ya utoaji tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ya Ballon D’Or na tuzo nyingine za ubora kwa wanamichezo wa soka waliofanya vizuri kwenye kalenda ya mashindo ya mwaka 2024-25.

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS