Jux tuhuma za kuiba wimbo wa Meja Kunta

Pichani Jux,Meja Kunta na D Voice

Msanii wa muziki wa singeli Tanzania ametupa lawama za kuibiwa wimbo na msanii D voice ambapo kwa mujibu wake ni kuwa D voice ameuvujisha wimbo huo kwa Jux baada ya Meja kumsikilizisha kama mdogo wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS