Bunge la Uganda lapitisha kesi za kiraia Jeshini

Bunge la Uganda limepitisha mswada wa sheria kuhusu UPDF, mswada ambao sasa utaruhusu mahakama za kijeshi kusikiliza kesi za kiraia, hatua ambayo imeenda kinyume na uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya juu ambayo ilisema mahakama hizo hazina hadhi kikatiba kusikiliza kesi za kiraia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS