"Hii sio ishara ya kupotea" - Manara
Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka na kuwataka mashabiki wa wekundu Msimbazi kutoangaishwa wala kuhuzunika na matokeo mabaya waliyoyapata dhidi ya Stand United na kudai hicho sio kigezo cha kupotea katika ligi.

