Mr. Nice awapa pongezi BASATA Msanii ambaye alifanya vizuri katika muziki kipindi cha nyuma kwa staili yake ya Takeu, Mr Nice amefunguka na kuwaasa wasanii wenzake kuimba vitu vyenye msingi ili kusudi wasije kuwapotosha mashabiki zao wanaowatazama. Read more about Mr. Nice awapa pongezi BASATA