Watu 33 wauwawa Zaidi ya watu 33 wameuwawa katika shambulio jipya lililotokea nchini DRC mauwaji hayo yakihusishwa na fujo za kikabila kati ya jamii ya Hema na Lendu huko kaskazini Mashariki mwa jimbo la Ituri. Read more about Watu 33 wauwawa