Mwigulu akiri kufurahishwa, amshukuru JPM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dk. Mwigulu Nchemba  ametembelea kukagua ujenzi wa nyumba za polisi Mkoani Arusha ambazo ziliungua kwa ajali ya moto iliyotokea mwaka jana ambapo amekiri kufurahishwa na kuridhishwa na hatua za ujenzi zilipofikia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS