ACT Wazalendo waikumbuka Dodoma
Chama cha ACT Wazalendo kimekabidhi mifuko 40 ya Saruji kama mwendelezo wa utekelezaji wa ahadi ya kujenga Zahanati kwenye Kijiji cha Chidolu kilichopo Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma ambacho kinaongozwa na ACT Wazalendo.

